Thursday, January 6, 2011

Hayati John C Kayuza alikuwa Mwalimu wa Kiswahili TSJ mpaka IJMC alifariki tarehe 02/12/2010 saa 2:02 Asubuhi katika hospital ya Mama Ngoma Mwenge na kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni tarehe 04/12/2010.

No comments: