Wednesday, December 17, 2008

Mnara wa Mlimani TV

Mnara wa Mlimani TV iliyopo Makumbusho, Dar ambayo sasa ipo hewani kwa majaribio

Tuesday, December 16, 2008

mradi wa zao la mpunga

Ofis za mradi wa mpunga zilizopo bonde la ruvu wilayani bagamoyo, mradi huo umekufa baada ya wataalam wa kijapani kuondoka

daraja kuu la mto ruvu chini-bagamoyo



daraja kuu la mto ruvu chini, kijijini mtoni wilaya ya bagamoyo.barabara hii ni ya mkato kwenda tanga na arusha, kutokea msata.